Hifadhi ya Taifa ya Visiwa vya Rubondo
Hifadhi hii iko kaskazini-magharibi mwa Tanzania, 150km (Takriban maili 95) magharibi mwa Mwanza
Hifadhi ya Taifa ya Rubondo ni kimbilio la ndege wa majini na pia wanyama wakubwa kama tembo. Wageni katika visiwa hivi watapata fursa ya kutumia ujuzi wa uvuvi kwa kufanya uvuvi wa doa!
Rubondo ni mojawapo ya maeneo machache nchini Tanzania ambapo mtu anaweza kukutana na sitatunga adimu.
Uvuvi wa michezo unaofanywa katika maeneo maalum na kuangalia ndege kando ya ufuo, msituni na kwenye visiwa vya kuzaliana ndege.
Unaweza kufika katika Hifadhi hii kwa kutumia usafiri wa anga au maji. Kupitia maeneo mawili tofauti ambayo ni Halmashauri ya Wilaya ya Geita na Halmashauri ya Wilaya ya Chato.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa