Posted on: October 5th, 2018
Mkoa wa Geita umekua miongoni mwa mikoa vinara mitatu iliyoongoza nchi nzima katika ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Hayo yamebainishwa na Mhe. Seleman Jafo (Mb), Waziri wa Nchi O...
Posted on: October 2nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amewasainisha Mkataba wa Usimamizi wa Lishe Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Geita ikiwa ni utekelezaji wa Maagizo ya Serikali kupitia Makamu wa R...
Posted on: October 1st, 2018
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa mgeni rasmi amefunga maonesho ya kwanza na ya Kihistoria ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini ya Dhahab...