Posted on: August 2nd, 2019
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlojia William Ole Nasha ameeleza kuridhishwa kwake na jinsi uongozi wa mkoa wa geita chini ya mkuu wa mkoa mhandisi Robert Gabriel juu ya usimamizi wa miradi mbal...
Posted on: August 1st, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amefungua soko moja la madini ya dhahabu Mjini Masumbwe Wilayani Mbogwe, soko linalofanya mkoa huu kuwa na idadi ya masoko kuwa matano ndani mkoani geita ...
Posted on: July 30th, 2019
Watumishi wa Umma ndani ya mkoa wa geita wamekumbushwa juu ya misingi mbalimbali ya utumishi ndani ya serikali huku wakionywa kuhusu kuepuka kuichonganisha serikali na wananchi wake kupitia huduma wan...