Posted on: October 8th, 2019
Mkuu wa mkoa wa geita mhandisi Robert Gabriel amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita Flavian Kasara na kanisa la Katoliki kwa ujumla kufuatia ujenzi wa sekondari ya wasichana ijulikanayo k...
Posted on: October 8th, 2019
Watendaji wa serikali mkoani geita wametakiwa kuhakikisha wanahamasisha usafi wa mazingira ili kuwaepusha wananchi na mbu waenezao Malaria ikiwa lengo la serikali ni kuwa na asilimia sifuri ya malaria...
Posted on: October 2nd, 2019
Katibu Tawala Mkoa wa Geita Denis Bandisa amemuomba Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye kuifanya Geita kuwa ya kwanza kwenye matumizi ya mpango wa anwa...