• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI 32,153 KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018, MKOA WA GEITA WASHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA 2017

Posted on: December 11th, 2017

WANAFUNZI 32,153 KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018, MKOA WA GEITA WASHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA 2017

Wanafunzi 32,153 kati ya 36,979 waliosajiliwa kufanya mtihani wa Darasa la Saba Mwaka 2017 Mkoani Geita wamechaguliwa kuendelea na elimu ya Sekondari mwaka 2018 (Kidato cha kwanza).

Akitangaza matokeo hayo kwa ngazi ya Mkoa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Bw.  Selestine Gesimba amesema wanafunzi 32,153 (Wav. =16110 na Was.=16043) wamefaulu Mtihani wa Darasa la Saba na kufanikiwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za Sekondari  sawa na asilimia 98% ya wanafunzi 36,979 waliosajiliwa kufanya mtihani. Watahiniwa ambao hawakufanya Mtihani ni 391 sawa na asilimia 1.05% kwa sababu za utoro, ugonjwa na vifo vya wanafunzi pamoja na sababu nyingine.

Katibu Tawala amesema kuwa ufaulu wa Mkoa umeongezeka kwa asilimia 0.3 kutoka 86.92 mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 86.95 kwa Mwaka 2017 huku wastani wa ufaulu ni alama 146.17 hivyo kuufanya Mkoa wa Geita kushika nafasi ya Pili Kitaifa nyuma ya Mkoa wa Dar es salaam ambao ndio kinara kitaifa.

Matokeo haya yanaonyesha kuwa Halmashauri za Mkoa wa Geita zimefanya vizuri kitaifa zikiongozwa na Halmashauri ya Wilaya ya Chato iliyoshika nafasi ya 10, Geita Mji nafasi ya 16, Bukombe nafasi ya 17,Nyang'hwale nafasi ya 22, Mbogwe nafasi ya 26 na Geita Vijijini nafasi ya 29 kitaifa kati ya Halmashauri 184.Kupata Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa na Shule waendazo bonyeza hapa

Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Waziri Mavunde Aaagiza Utekelezaji Wa Miradi Ya Nyuma Ya CSR Geita

    April 15, 2025
  • Mabonanza ya Watumishi Yawe Endelevu - DC Kingalame

    March 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa