• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mamlaka za Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC AKUTANA NA UONGOZI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) WAKUBALIANA KUANZISHA WAKALA GEITA

Posted on: December 28th, 2017

RC GEITA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA WAKUBALIANA KUANZISHA WAKALA GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la ndege Tanzania (ATCL) Bw; Ladislaus Matindi na kukubaliana kufungua Wakala wa Shirika hilo Mkoani Geita.

Akizungumza Ofisini kwake baada ya mazungumzo hayo Mhandisi Robert Gabriel amesema Mkoa wa Geita upo kwenye maandalizi ya kufungua Ofisi za Wakala wa Shirika la ndege Tanzania ili kurahisisha na kuwa na usafiri wa anga  wa uhakika kwa wananchi wa Geita na nje ya Geita.

Mhandisi Robert Gabriel ameongeza kuwa uwepo wa Shirika la ndege katika Mkoa wa Geita ni fursa kubwa ya kuutangaza Mkoa na rasilimali zake kwa kuwa kutakuwa na watu wengi wanaoingia ndani ya mkoa kutoka maeneo mbalimbali  wakiwa na fedha hivyo biashara zitakua ikiwemo sekta ya Utalii kwasababu kutakuwa na usafiri wa Uhakika.''Mkoa wetu umekaa kimkakati kuna nchi za jirani za Rwanda na Burundi tutapata abiria kutoka huko ambao watakuja Geita wakafanya biashara na kufanya utalii,pia Mkoa unataka kuanzisha mnada mkubwa wa madini ya dhahabu hivyo uwepo wa huduma za ATCL utafungua mkoa huu kwa kiwango kikubwa''.

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la ndege Tanzania Ladislaus Matendi amesema kuwa shirika hilo linawarahisishia wakazi wa Geita kutumia huduma za ATCL wasiwe na haja ya kwenda Mwanza kupata Tiketi bali wazipate hapa hapa Geita hivyo watazungumza na wafanyabiashara ili kuanzisha wakala. Amesema Mkoa wa Geita una fursa nyingi sana zikiwemo uchimbaji wa madini, bidhaa za Kilimo zinapatikana kwa wingi hivyo Geita inaangaliwa kipekee.Ameongeza kuwa Mkoa una vivutio vingi hivyo ni wakati wa ATCL kushirikiana na Mkoa, Bodi ya Utalii na TANAPA kunadi vivutio hivyo.

Matangazo

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amemuapisha Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Staki Senyamule Tarehe 19 Mei 2021 May 19, 2021
  • Vigezo vya Udhamini, Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji Kwenye Sekta ya Madini Mkoani Geita August 06, 2019
  • Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa Geita January 11, 2018
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA -2018, MKOA WA GEITA December 11, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • “Serikali ni Mwajiri Bora Zaidi Tanzania”. Asema RC Geita Mhe.Rosemary Senyamule

    May 21, 2022
  • “Serikali ni Mwajiri Bora Zaidi Tanzania”. Asema RC Geita Mhe.Rosemary Senyamule

    May 21, 2022
  • “Serikali ni Mwajiri Bora Zaidi Tanzania”. Asema RC Geita Mhe.Rosemary Senyamule

    May 21, 2022
  • “Wananchi Tutumie Fursa ya Mzigo Flexi ya CRDB”. Asema RC Senyamule

    May 20, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mwaliko Jukwaa la Fursa za Biashara Mkoani Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa