• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mabonanza ya Watumishi Yawe Endelevu - DC Kingalame

Posted on: March 30th, 2025


Mkuu wa wilaya ya Nyang'hwale Mhe.Grace Kingalame ametoa wito kwa Watumishi wa Umma Katika Mkoa wa Geita kuendeleza desturi ya kufanya mabonanza ya michezo kwa lengo la kuboresha afya zao na kuimarisha mahusiano.

Mhe. Kingalame ametoa wito huo alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Geita wakati wa ufungaji rasmi wa Bonanza la watumishi wa Umma Mkoani Geita lililofanyika Machi 29, 2025 katika Viwanja Vya Shule ya Msingi Waja Geita mjini.

Mhe.Grace Kingalame ameongeza kuwa Bonanza hili ni Kwa ajili ya burudani,mazoezi,kudumisha ushirikiano na mshikamano na kujadiliana mambo muhimu yanayohusu utumishi wa Umma ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kila wakati

Mhe. Kingalame amewakumbusha watumishi hao kutambua kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan inatambua Mchango wa Watumishi wa Umma Kwenye kuleta maendeleo na inahakikisha watumishi wa Umma wanakuwa mazingira bora ya kazi na  kuboresha maslahi bora.

Mganga Mkuu wa Mkoa ambaye ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa Wa Geita Dkt.Omari Sukari  amesema Bonanza hili Limetimiza Muongozo wa Serikali wa Kuendelea Kupambana na Magonjwa Sugu yasiyoambukiza na kuepuka ugonjwa wa Ukimwi Maeneo ya Kazi pia Bonanza hili linaongeza upendo,umoja na mshikamano wa Watumishi wa Umma Mkoani Geita.

Kwa Upande Wake Afisa Michezo Mkoa wa Geita,Bahati Rodgers amesema Bonanza hili ni La Kwanza,kwa Mwaka 2025 Kutakuwa na Mabonanza manne ambayo yatafanyika Kila Baada ya miezi mitatu.

Washindi Walioibuka na ushindi wa Vikombe kwenye Bonanza katika mchezo wa Mpira wa Pete ni Hospitali ya Manispaa Geita, mchezo WAVU ni Halmashauri ya Wilaya ya Geita, mchezo wa kuvuta KAMBA kwa wanawake ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita, kwa Wanaume ni Tume ya Madini,mchezo wa mpira wa KIKAPU ni Hospitali ya Mkoa wa Geita ,MPIRA WA MIGUU mshindi ni Halmashauri ya Wilaya ya Geita.

Washindi wa Mchezo wa Riadha, Karata ,Bao, Kisahani,Kukimbia na Yai,Kurusha Mkuki ,Kukimbia na Magunia Walipewa Zawadi za Medali.

Zawadi ya Mchezaji bora mpira wa miguu  Mshindi ni Faller Mabije kutokea GEUWASA

Zawadi ya Mfungaji bora mpira wa miguu  mshindi ni Elneo Nyongole kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita.

Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Waziri Mavunde Aaagiza Utekelezaji Wa Miradi Ya Nyuma Ya CSR Geita

    April 15, 2025
  • Mabonanza ya Watumishi Yawe Endelevu - DC Kingalame

    March 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa