• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mamlaka za Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAAFISA KILIMO NA MIFUGO GEITA WATAKIWA KUWA CHACHU YA UCHUMI WA VIWANDA

Posted on: May 11th, 2017

MAAFISA KILIMO NA MIFUGO WATAKIWA KUWA CHACHU YA UCHUMI WA VIWANDA MKOANI GEITA

Maafisa kilimo na Mifugo Mkoani Geita wametakiwa kuwa chachu ya kufikia Uchumi wa Kati na Viwanda Mkoa wa Geita kwa kuboresha shughuli za kilimo na mifugo ili kuongeza tija.

Akizungumza na watendaji hao wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha maafisa hao kilichoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kwa kushirikiana na kituo cha utafiti wa Mbegu cha Maluku Mkoani Kagera,  Mhe. Ezekiel Kyunga Mkuu wa Mkoa wa Geita amesema kila siku lazima kuwe na jitihada za kubadilisha mienendo katika shughuli za kilimo na ufugaji ili kuleta tija ili kutupekeka katika uchumi wa viwanda na baadae uchumi wa kati kwa kutumia rasilimali zilizo katika shughuli za kilimo, mifugo. Ametoa wito wa kufanyia kazi yale yote waliojifunza ili yalete tija kwa jamii ya wananchi wa Mkoa wa Geita.

Aidha, katika kikao hicho katibu Tawala wa Mkoa wa Geita ndugu Selestine Gesimba amesema kuwa serikali ya Mkoa inafanya jitihada za kuweka utaratibu wa kuendesha shuguli za kilimo na ufugaji katika kila Wilaya zote za Mkoa wa Geita kwa kuazisha mashamba darasa kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi ili kuongeza uzalishaji na kipato cha mwananchi.

Katika kikao hicho wataalamu hao walipata fursa ya kutembelea shamba darasa ambalo limeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa lenye kilimo cha Alizeti, Maharage,Mahindi, Mtama na bwawa la ufugaji wa samaki lenye vifaranga 120. Shamba hilo linalenga kutoa elimu kwa wananchi ili wajue mbinu za kuendesha kilimo bora chenye tija kwa wakulima.

Matangazo

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amemuapisha Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Staki Senyamule Tarehe 19 Mei 2021 May 19, 2021
  • Vigezo vya Udhamini, Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji Kwenye Sekta ya Madini Mkoani Geita August 06, 2019
  • Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa Geita January 11, 2018
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA -2018, MKOA WA GEITA December 11, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • “Maji Hayana Mbadala, Tutunze Chanzo cha Mto Nikonga”. Asema RC Geita

    June 26, 2022
  • Kuelekea Wiki ya Samia, RC Geita Akabidhi Pikipiki kwa Maafisa Ushirika

    June 24, 2022
  • Kuelekea Wiki ya Samia, RC Geita Akabidhi Pikipiki kwa Maafisa Ushirika

    June 24, 2022
  • Kuelekea Wiki ya Samia, RC Geita Akabidhi Pikipiki kwa Maafisa Ushirika

    June 24, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mwaliko Jukwaa la Fursa za Biashara Mkoani Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa