• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mamlaka za Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI ZA MKOA WA GEITA ZATAKIWA KUJENGA MAGHALA YA KUHIFADHI MAZAO

Posted on: May 11th, 2017

HALMASHAURI MKOANI GEITA ZATAKIWA KUJENGA MAGHALA

Mamlaka za Serikali za Mitaa Mkoani Geita zimetakiwa kuweka utaratibu wa kujenga maghala ambayo yatamilikiwa na Mamlaka hizo ili wananchi watunze mazao na kuongeza mapato kwa ajili ya utoaji wa huduma za maendeleo.

Akizungumza katika kikao cha kujadili hoja za Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ambacho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa Mkoa, Mhe. Ezekiel Kyunga Mkuu wa Mkoa wa Geita amezitaka Mamlaka hizo kujenga maghala ili wananchi watunze mazao katika maghala yaliyojengwa na Halmashauri ambayo yatatokana na kodi zao wenyewe. Mkuu wa Mkoa amesema kuwa njia hii itasaidia kupunguza gharama za kuhifadhi mazao katika maghala binafsi, pia itakuwa rahisi kukabiliana viashilio vya uhaba wa chakula.

Aidha, Mkuu wa Mkoa amewataka Wakuu wa Wilaya kusimamia na kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kuhifadhi chakula walichokipata kwa kuacha tabia ya kuuza chakula hovyo. Vilevile ametumia kikao hicho kuzitaka Halmashauri kuimarisha minada  na kuhakikisha kuwa watu wote wenye mifugo katika hifadhi wanaondoka katika hifadhi hizo wao pamoja na mifugo na kurudi walikotoka.

Katika kikao hicho Katibu Tawala wa Mkoa ndugu Selestine Gesimba amewataka watumishi wa Umma Mkoani humu kufuata sheria, taratibu na kutoa ushirikiano kwa wakaguzi wa hesabu za Serikali pale wanapotekeleza majukumu yao na amewasii kuwa wazalendo kwa taifa na kuacha tabia zinazokinzana na kanuni za Utumishi wa Umma.

Na: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

Matangazo

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amemuapisha Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Staki Senyamule Tarehe 19 Mei 2021 May 19, 2021
  • Vigezo vya Udhamini, Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji Kwenye Sekta ya Madini Mkoani Geita August 06, 2019
  • Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa Geita January 11, 2018
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA -2018, MKOA WA GEITA December 11, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • “Maji Hayana Mbadala, Tutunze Chanzo cha Mto Nikonga”. Asema RC Geita

    June 26, 2022
  • Kuelekea Wiki ya Samia, RC Geita Akabidhi Pikipiki kwa Maafisa Ushirika

    June 24, 2022
  • Kuelekea Wiki ya Samia, RC Geita Akabidhi Pikipiki kwa Maafisa Ushirika

    June 24, 2022
  • Kuelekea Wiki ya Samia, RC Geita Akabidhi Pikipiki kwa Maafisa Ushirika

    June 24, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mwaliko Jukwaa la Fursa za Biashara Mkoani Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa