• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mamlaka za Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

IGP Sirro Ampongeza RC Gabriel kwa Kulipiga Tafu Jeshi la Polisi, Aomba Viongozi wa Dini Kukemea Maovu kupitia Waamini.

Posted on: October 28th, 2018


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Geita kwa namna ambavyo amekua mstari wa mbele kuhakikisha Askari Polisi ndani ya Mkoa wanapata makazi bora ya kuishi, huku akimuomba kufikisha ujumbe kwa viongozi wa dini ili kusaidia kukemea vitendo vya kiuharifu kama vile mauaji ya vikongwe na ubakaji kwani wao pia wana mchango mkubwa kwenye jamii katika kuhamasisha matendo yaliyo mema.

Ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazunguzo na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Robert Gabriel tarehe 25.10.2018 akiwa katika ziara yake ya kikazi Mkoani Geita.

Amesema, “kwanza nakupogeza kwa kuteuliwa kuwa kiongozi wa mkoa huu, lakini pia kwa namna ambayo umekuwa ukihamasisha ujenzi wa nyumba za Askari kwa kushirikiana na RPC kwakuwa spidi ni kubwa sana na mkoa wenu ni wa nne sasa kutekeleza programu hii ya ujenzi ya “Self Help Scheme” inayosisitizwa na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Rais. Vilevile naomba viongozi wa dini watusaidie kupaza sauti juu ya vitendo viovu ikiwemo vya mauaji ya vikongwe na ubakaji”, kisha kuendelea na ziara yake.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Gabriel amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Mponjoli L.M mbele ya IGP Sirro akieleza namna ambavyo wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa katika kuhakikisha kuwa amani na usalama vinatawala ndani ya Mkoa wa Geita vile vile akilishukuru Jeshi la Polisi Mkoa kwa ujumla kupitia utendaji wa askari ndani ya mkoa.

Mhandisi Gabriel ameongeza kusema, “tumekaa kama Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na tumesema hatukubali kuona Askari wanalala kwenye nyumba zisizo na heshima, bali walale mahali pazuri. Hivyo tulianzisha kampeni ya kujenga nyumba za askari mia moja (100) Kata ya Bombambili Mtaa wa Magogo Mjini Geita na tutapambana kuhakikisha fedha zinapatikana ili nyumba hizo zikamilike wahamie ili wanaoulinda uchumi wa Geita wafanane nao”


Awali Kamanda Mponjoli alieleza kuwa hadi sasa katika kampeni hiyo ya ujenzi wa nyumba 100, tayari kuna maboma tisa (9) ya mbili kwa moja (two in one) yaani nyumba kumi na nane (18), ambapo maboma hayo yapo katika hatua tofauti tofauti.



Matangazo

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amemuapisha Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Staki Senyamule Tarehe 19 Mei 2021 May 19, 2021
  • Vigezo vya Udhamini, Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji Kwenye Sekta ya Madini Mkoani Geita August 06, 2019
  • Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa Geita January 11, 2018
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA -2018, MKOA WA GEITA December 11, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • “Serikali ni Mwajiri Bora Zaidi Tanzania”. Asema RC Geita Mhe.Rosemary Senyamule

    May 21, 2022
  • “Serikali ni Mwajiri Bora Zaidi Tanzania”. Asema RC Geita Mhe.Rosemary Senyamule

    May 21, 2022
  • “Serikali ni Mwajiri Bora Zaidi Tanzania”. Asema RC Geita Mhe.Rosemary Senyamule

    May 21, 2022
  • “Wananchi Tutumie Fursa ya Mzigo Flexi ya CRDB”. Asema RC Senyamule

    May 20, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mwaliko Jukwaa la Fursa za Biashara Mkoani Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa