Dira
“Kuwa Sekretarieti ya Mkoa ya mfano nchini katika utoaji wa huduma bora za ushauri, kijamii na kiuchumi kwa wadau wote ifikapo 2025”.
Dhima
“Kuimarisha mifumo ya Mamlaka za Serikali za Mitaa na kuratibu huduma za maendeleo kijamiina kiuchumi kwa kutoa utaalamu na ushauri wa kisheria kwa wadau na wananchi wa Mkoa wa Geita kwa ujumla”.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa