Saturday 14th, September 2024
@VIWANJA VYA EPZ BOMBAMBILI
Wananchi wote Mnakaribishwa kushiriki katika Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yatakayoanza tarehe 2/10 hadi 12/10/2024 katika viwanja vya EPZ Bombambili Geita mjini. Tafadhali Bonyeza maandishi ya bluu( link) hapo chini ili ujisajili kushiriki katika Maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini 2024
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa