• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MIFUGO

SEKTA YA MIFUGO 

Mkoa wa Geita ni miongoni mwa Mikoa nchini yenye idadi kubwa ya mifugo. Mkoa    unakadiriwa kuwa na ng’ombe wapatao 1,118,585, mbuzi 497,774, kondoo 106,336, nguruwe 14,405 na kuku 3,191,554. Mazao makuu ya mifugo yanayozalishwa ni nyama na maziwa. Mazao mengine ni ngozi, mayai na mbolea aina ya samadi.

Mikakati ya mkoa katika kuimarisha sekta ya Mifugo 

Mkakati wa mkoa katika sekta ya mifugo umejikita katika Kuboresha miundombinu ya Mifugo, Kudhibiti magonjwa ya mifugo na Kuhamasisha ufugaji bora.

Ili kutekeleza mikakati hiyo;  Mkoa unaendelea kuzisimamia Halmashauri katika kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa Machinjio ya kisasa katika Halmashauri ya Mji wa Geita   eneo la mpomvu ambapo mradi huu ukikamilika utakuwa na uwezo wa kuchinja ng’ombe 150 kwa siku sawa na wastani wa ng’ombe 4,500 kwa mwezi. Hivyo, mpaka kukamilika kwa machinjio zote Mkoa utakuwa na uwezo wa kuchinja ng’ombe 79,200 kwa mwaka.

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza mchakato wa ujenzi wa miundombinu ya mnada mkubwa wa upili (Secondary Market) Wilayani Chato. Mpaka sasa Mkandarasi (Shirika la Nyumba la Taifa), anaendelea na ujenzi. Hata hivyo, katika kipindi cha 2018-2020 Halmashauri zimejenga na kukarabati jumla ya majosho 29 kati ya majosho 57. Hii ni hatua kubwa inayochukuliwa na Serikali kwa ajili ya kuboresha sekta ya Mifugo.

Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Waziri Mavunde Aaagiza Utekelezaji Wa Miradi Ya Nyuma Ya CSR Geita

    April 15, 2025
  • Mabonanza ya Watumishi Yawe Endelevu - DC Kingalame

    March 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa